Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwanaume mmoja Raia wa Peru amemuacha Mke wake baada ya kuona picha za mahaba za Mke wake akiwa na Mwanaume mwingine kupitia Google Maps, Mwanaume huyo alikuwa akitafuta namna ya kufika ktk daraja la Lima na ndipo Google Maps ilipomuonesha picha hizo.
 
Wanawake wanaopaka wanja chini ya macho, na wale wanaobandika kope bandia, wapo hatarini kupata upofu kutokana na maji yanayotumiwa kugundisha kope hizo ambayo huingia kwenye macho. Hayo yamesemwa na Dkt Bernardetha Robert, katika kilele cha siku ya afya ya macho duniani.
 
Lash extensions si wanatumia glue sio maji au unasemea contact lenses jamani sie wanawake tuna mambo [emoji853][emoji853][emoji853][emoji853].
 
Back
Top Bottom