Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Madrasa hapana wallahi uwiiii ila ni kweli. Watoto hujifunza vizuri lugha mpya kuliko watu wazima. Wataalamu wa Isimu Saikolojia wanasema kuwa ukivuka miaka 14 inakuwia vigumu sana kujifunza lugha na kuweza kuiongea kwa lafudhi ya kizawa.

Maana ukivuka 14 mshajibebesha mambo ya misambwanda sijui midude gani akili inakua iko busy haiwezi kuconcetrate [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13].
 
Michael alikuja na mbwembwe kibao ila huyoo keshaenda zake na maisha yanaendelea...

Siku hizi mkiondoka muwe mnasema ili tusije tukadhani mmetekwa !!!

Mkuu kutekwa mpaka uwe na jina kubwa. Wanasema zamu yetu bado. Tunasubiri wenye majina yao waishe ili nasi tutekwe[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Tunu zenu
FB_IMG_1539296827534.jpg
 
Back
Top Bottom