Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1539296704504.jpg
 
Msichana Sandra Johnson, ambaye ni raia wa Marekani amemshtaki mama yake mzazi Alma Johnson kwa kuwa mweusi kuliko yeye, na kwamba hana hadhi ya kuwa mama yake kwa sababu yeye ana elimu na mama yake hana, marafiki zake wote weupe na pia ana mchumba mweupe tajiri. Hivyo hataki kuwa na mama kama huyo.
Radi itakayokuja kumchapa ndo kwanza inapasha misuli katika mlima Olympus
 
Back
Top Bottom