Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Msichana Sandra Johnson, ambaye ni raia wa Marekani amemshtaki mama yake mzazi Alma Johnson kwa kuwa mweusi kuliko yeye, na kwamba hana hadhi ya kuwa mama yake kwa sababu yeye ana elimu na mama yake hana, marafiki zake wote weupe na pia ana mchumba mweupe tajiri. Hivyo hataki kuwa na mama kama huyo.
 
Bado nawaza aliyegundua kumkamua ng’ombe chuchu na kunywa maziwa yake alikuwa anawaza nini. Alijuaje.
Ni baada ya kumuona ndama akinyonya...Hivyo nae akalijaribu hilo zoezi, sema yeye akaona iwe tofauti kidogo kwa kutumia mikono kukamua maziwa badala ya kunyonya.. Alifikiri "Mmmmmh , jitu zima hivi niiname kama ndama kunyonya maziwa??............. HAIWEZEKANI.
 
Ka urefu wa kidole fulani eti kuashiria pia urefu wa mjurubeng? Ila afadhali tu mpoe hivi hivi kwa kweli. We na shogako mlikuwa tatizo kwa kweli. Good ole days [emoji16][emoji16][emoji16]
Siupatii picha mjurubeng uliofichwa humo[emoji3][emoji23][emoji23][emoji3]
20181012_231929.jpg
 
1. Nyusi
Kuna tabia ya wanawake kunyoa nyusi zao sana, na wengine kuzitoa kabisa. Alafu, wanaishia kuzichora na rangi nyeusi.
Hii inamfanya mwanamke kuonekana kama kikatuni.
Sasa:
Badala ya kunyoa nywele zote, zipunguze kwa kiasi kidogo
Usituimie rangi nyeusi kuzijaza. Tumia rangi ya brauni
Kwa muonekano wa kiasili zaidi, tumia nyusi, poda ya nyusi au gel badala ya penseli.

Rangi brown sio kwa wote,wanja wa nyusi inategemea Na nywele zako kwa mfano za kwangu ni nyeusi Na natumia rangi ya Ebony
IMG_8806.JPG
 
4. Tumia blush kwa usahihi
Kutumia kwa usahihi ni tatizo duniani.
Suluhisho:
Tumia blush kwenye mifupa ya mashavu, sio kwenye mashavu yenyewe.
Kama una ngozi yeneye uweusi zaidi, tumia blush ya rangi ya dhahabu au zambarau.

🤣🤣🤣🤣 blush ya dhahabu au purple [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Back
Top Bottom