View attachment 896031
Na baada ya hapo tena eti na pesa umpe. Shwaiiiini [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Bado nawaza aliyegundua kumkamua ng’ombe chuchu na kunywa maziwa yake alikuwa anawaza nini. Alijuaje.
Radi itakayokuja kumchapa ndo kwanza inapasha misuli katika mlima OlympusMsichana Sandra Johnson, ambaye ni raia wa Marekani amemshtaki mama yake mzazi Alma Johnson kwa kuwa mweusi kuliko yeye, na kwamba hana hadhi ya kuwa mama yake kwa sababu yeye ana elimu na mama yake hana, marafiki zake wote weupe na pia ana mchumba mweupe tajiri. Hivyo hataki kuwa na mama kama huyo.
I am dealing with one right now. It is a challenge though [emoji7][emoji7][emoji7]Some ladies are "once in a lifetime" type of girls ,there is no upgrade after her.. If you lose her, you've lost one of the best things that could have happened to you..
This is it. Nabadilisha na avatar sasa hivi. Shwaiiiini kabisa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Siupatii picha mjurubeng uliofichwa humo[emoji3][emoji23][emoji23][emoji3]View attachment 896051
Hawa ukikutana nao macho kwa macho utatamani iwe ndoto 🤣🤣