Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Manchester United imewasilisha 'ombi la kutia kisunzi' kwa mlinzi wa Atletico Madrid na timu ya taifa ya Ufaransa Lucas Hernandez. Mchezaji huyo mwenye miaka 22 ana thamani ya £ milioni 70, kifungu katika mkataba wake. (Marca, kupitia Metro)
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mmiliki kaukimbia mjurubeng wake.
 
Liverpool na Juventus wanatathmini mkataba wa Piotr Zielinski huko Napoli. Mchezaji huyo wa kiungo cha kati raia wa Poland mwenye miaka 24 yumo katika mzozo na klabu yake kuhusu kipengee cha kumuuza. (Calciomercato, kupitia Daily Mirror)
 
Mlinzi wa Italia Leonardo Bonucci, mwenye umri wa miaka 31, anasema uhamisho wake wa msimu mmoja wa £ milioni 40 kutoka Juventus kwenda AC Milan ulikuwa makosa makubwa yaliotokana na hasira. (Corriere dello Sport, kupitia Sun)
 
Mlinzi wa Italia Leonardo Bonucci, mwenye umri wa miaka 31, anasema uhamisho wake wa msimu mmoja wa £ milioni 40 kutoka Juventus kwenda AC Milan ulikuwa makosa makubwa yaliotokana na hasira. (Corriere dello Sport, kupitia Sun)
 
Brentford inatarajiwa kutafuta meneja atakayeichukua nafasi ya kudumu ya Dean Smith ambaye ni meneja mpya wa Aston Villa wiki ijayo, lakini itatazama zaidi uzoefu katika ubingwa wakati wakitafuta mtu atakayeichukua nafasi hiyo.(Evening Standard)
 
Newcastle scouts imemtazama mchezaji wa kiungo cha kati wa Olympiakos raia wa Guinea Mady Camara, mwenye miaka 21, wikendi iliyopita. (Sport in a Storm)
 
Weuweee umo,ndie uliyeanzisha yote hayaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mmiliki akiamka itakuwa vurugu hapa..Acha nijinyamazie mie, nisije ianza weekend yangu vibaya.

##Teammijurubeng##
 
Back
Top Bottom