Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1539296318004.jpg
 
[emoji16] [emoji16] Unamaanisha jini aweza fananana na binadamu yeyote.
Lakini huwa nawaona watu wengi humpa jini muonekano wa nusu mnyama na nusu binadamu, hii imekaaje?
Ndiyo kwasasa nafikiri anaweza kufanana na binadamu yeyote, ke/me..Sema hili la nusu mnyama nusu binadamu sifahamu kwakweli...Lakini huwa nasikia wanadai anakuwa na kwato.
 
Back
Top Bottom