[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Kuolewa na Mpare siyo ishu ya kispoti spoti. Hata kutoka nje na kuchangamana na watu ni shida. Dadangu anateseka kwa kweli [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Asante ho chi minh!!! NinawamissssNzuri karibu
kweli kabisaAfrica angeitwa fisadi na wadhungu wangemwita dictator na lazima mbinu itumike kumwondoa ili kuonyesha silaha zao na kuziuza!
Ehhh Mola wangu tusaidie kututoa katika mbinu za watu weupe na maadui zetu wakafilie mbali wao na vizazi vyao milele yote walahi