moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji16] [emoji16] UjiMbona stage no.4 kafichwa mdomo???
[emoji16] [emoji16] UjiMbona stage no.4 kafichwa mdomo???
Nope [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]In swahili plz
Unataka kuahirisha safari?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...mmmmmh!! Hapana kwakweli..
Comment upate like...simpo
Hujafa hujaumbika...Still gojazi....
Zimeisha hizi hapaView attachment 896841View attachment 896846 Rudi nyumbani pamenoga[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
SawaZimeisha hizi hapaView attachment 896841View attachment 896846 Rudi nyumbani pamenoga[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Tongozo la kiafande
SMS YA SAJENTI CHACHA KWENDA KWA KONSTEBO AISHA
DEAR unajua nakuthamini zaidi ya
RUSHWA na POSHO"! Bila ww, mm
siwezi kuishi, ni sawa na kukosa
BUNDUKI eneo la TUKIO! Nakuheshim
km ninavyo heshim RINDO! ww ni IGP
wa moyo wangu! Mbona upo
kimya,nina RB ya PENZI lako? Nijibu
nifungue jarada lako ndani ya moyo
wangu! Usiufanye moyo wangu
Ukaenda mbio kama DIFENDA mpya
ya POLICE. Nakuhakikishia Usalama
kama msafara wa RAIS! Usiniweke
ROHO juu km maandamano ya CHADEMA!........!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mbona sioni kikombe??[emoji16] [emoji16] Uji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hata kama ulifikiria kumkubali waweza mpotezea[emoji23][emoji23]..Tongozo la kiafande
SMS YA SAJENTI CHACHA KWENDA KWA KONSTEBO AISHA
DEAR unajua nakuthamini zaidi ya
RUSHWA na POSHO"! Bila ww, mm
siwezi kuishi, ni sawa na kukosa
BUNDUKI eneo la TUKIO! Nakuheshim
km ninavyo heshim RINDO! ww ni IGP
wa moyo wangu! Mbona upo
kimya,nina RB ya PENZI lako? Nijibu
nifungue jarada lako ndani ya moyo
wangu! Usiufanye moyo wangu
Ukaenda mbio kama DIFENDA mpya
ya POLICE. Nakuhakikishia Usalama
kama msafara wa RAIS! Usiniweke
ROHO juu km maandamano ya CHADEMA!........!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]call me estaaaaaaRoho ya mizimu, majini na miungu kamwe haifui dafu mbele ya jina kuu la Yesu Kristu wa Nazareti. Hizi zingine mbwembwe tu...
Kuwa iginoadi nshazoea na hainiongezei wala kunipunguzia cho chote. Ukiniiigoa nami nakuiginoa tu. Ngoma drooo...Nasubiri siku utakayoniiginoa. Au nitakayoiginoiwa na Kaisiki. Naona nitahama na JF kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mbona sioni kikombe??