[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sihitaji.Unataka mjurubeng?
Saizi gani?
wachezaji wa simba wakicheza taifa starz lazima
tufungwe tu
MWANAUME KUSHABIKIA SIMBA SC UO NI
UMAMA WANAUME TUNASHABIKIA YANGA SC
BADILIKENI.
Roho ya mizimu, majini na miungu kamwe haifui dafu mbele ya jina kuu la Yesu Kristu wa Nazareti. Hizi zingine mbwembwe tu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kumbe mtaalamu pia wa hivi viumbe??? Sikujua..
Uache uchokozi....Watakuiginoa.
Uvuvi umekwenda mbali huko mkuu, waingie tu shambani wakalime.
Unaishije bila Mjurubeng?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sihitaji.
Mmmh mbona unajichanganya mkuu?Unamuachaje
kichuya,nyoni,
mkude ajibu yondan
alafu ushindeje Tz
tumelogwa na nin?
Wanayanga njooni huku kuna salamu zenu [emoji16][emoji16][emoji16]MWANAUME KUSHABIKIA SIMBA SC UO NI
UMAMA WANAUME TUNASHABIKIA YANGA SC
BADILIKENI.
Hahahahaha!!Roho ya mizimu, majini na miungu kamwe haifui dafu mbele ya jina kuu la Yesu Kristu wa Nazareti. Hizi zingine mbwembwe tu...
Kuwa iginoadi nshazoea na hainiongezei wala kunipunguzia cho chote. Ukiniiigoa nami nakuiginoa tu. Ngoma drooo...Nasubiri siku utakayoniiginoa. Au nitakayoiginoiwa na Kaisiki. Naona nitahama na JF kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]
Ukilishika shika na kulibusu busu huko kichwani lazima tu litafumbua macho na kukutazama [emoji16][emoji16][emoji16]Hahahahaha!! Sitaki mie