Unataka mjurubeng?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mmiliki akiamka itakuwa vurugu hapa..Acha nijinyamazie mie, nisije ianza weekend yangu vibaya.
##Teammijurubeng##
Beautiful walahi
Uvuvi umekwenda mbali huko mkuu, waingie tu shambani wakalime.Wapuuzi, kama huko Mwanza kuna ziwa kubwa wanashindwa hata kuvua dagaa wanavamia Shule watapata kitu gani? Shwaini zao!!!!