Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mpapurano wa manyumbu !!!
Eti ibada [emoji16][emoji16][emoji16]Ibada ya aasubuhiView attachment 896303
Nashangaa kuwa hakuna mtu aliyeshusha ghorofa hapo [emoji16][emoji16][emoji16]
Mchina anaelekea sokoniDunia Msongamano...View attachment 896311
River meandering...Kona kona za mto Rufiji ndani ya Selous Game RreserveView attachment 896312
Ngoma uingie uicheze [emoji16][emoji16][emoji16]Ndoa na changamoto zake.
[emoji174]View attachment 896344
Si kuna mtaalamu humu wa haya mambo si uulize tu indeed wallahi?Ndiyo kwasasa nafikiri anaweza kufanana na binadamu yeyote, ke/me..Sema hili la nusu mnyama nusu binadamu sifahamu kwakweli...Lakini huwa nasikia wanadai anakuwa na kwato.
Hili hata likilala doro utapata shida kweli prof? Waweza cheza nalo tu likiwa doro hivyo hivyo mpaka stress zikaisha [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], huyo fenesi lake leo litakuwa limelala doro.
Hahahahaha!! Sitaki mieHili hata likilala doro utapata shida kweli prof? Waweza cheza nalo tu likiwa doro hivyo hivyo mpaka stress zikaisha [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 896706
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kumbe mtaalamu pia wa hivi viumbe??? Sikujua..Si kuna mtaalamu humu wa haya mambo si uulize tu indeed wallahi?
Hahahahaha!!! Kwamba utaomba kutoka pasipo kusukumwa.Ngoma uingie uicheze [emoji16][emoji16][emoji16]
Wanadai inamuongezea mwanaume urijali.Ni dawa ya nini hii prof?
Inatumikaje?
Yawezekana kuna roho walikuwa wakiitafuta..Unavamia shule unakwenda kuiba nini? Madawati ama? Au kuna mtu specifically walikuwa wanamtafuta?
[emoji23][emoji23][emoji23]
Watafute kazi wafanye.