Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Dear future husband, za leo?
Nishukuru sana na uniheshimu mwanamke ninaekuomba hela maana sijakuona bwege. Bwege huwa haombwi hela maana hata uwezo wa kutafuta hana [emoji23][emoji23]
*Mwanamke kuomba Hela huo ni uchawi*
[emoji852][emoji852][emoji852][emoji852][emoji852][emoji852][emoji852][emoji852]

*Mwanamke unatakiwa kuomba Mimba*
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
20181015_125436.jpg
 
Familia ya Dewji inawakaribisha wanahabari kutoka vyombo vyote vya habari katika mkutano utakaofanyika leo saa 6:30 mchana katika ofisi za kampuni ya MeTL Group zilizopo katika jengo la Golden Jubilee Towers ghorofa ya 20 mtaa wa Ohio, Posta jijini Dar es Salaam.
 
RadarOnline Imeripoti kuwa Beyonce na Jay-Z hawana mpango tena wa kurudisha mahusiano bora kati yao na familia ya Kanye West na Kim Kardashian. - Jay Z ,48, na Beyonce ,37, ambao wametajwa kutaka kuingia kwenye siasa mbeleni hawataki kuwa karibu na mtu kama Kanye mwenye njaa ya umaarufu na yuko tayari kufanya jambo lolote ata kuchafua jina lake kwa kuunga mkono uongozi wa Donald Trump. - Kama inavyojulikana Kim Kardashian, 37, na Kanye West, 41, wamekuwa wakijaribu kurudisha urafiki wao na Hollywood’s most beloved couple Jay Z na Beyonce.. - Msemaji wa Jay Z ameondoa maswali yote kuhusu Kanye na Donald Trump kwenye interview zijazo za JAYZ - Mwanzoni mwa mwaka huu Beyonce na Jay-Z walimnunulia mtoto wa Kanye na Kim Kardashian #Chicago zawadi ya Bracelet yenye thamani ya dola $26,000.
 
Back
Top Bottom