Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*Tunapo ianza siku mpya na wiki mpya ni vyema tukajikabidhi mikononi mwake Mungu*

Mwenyezi Mungu muweza wa yote tunasema asante kwa kutupatia kibali kuwepo siku ya leo. Tunatubu na kuomba utusamehe dhambi zetu tulizozitenda kwa kufahamu, kutokufahamu,mawazo,maneno na matendo. Ee Mwenyezi Mungu tusafishe, badilisha maisha yetu yawe ya kukupendeza wewe Bwana. Ee Mwenyezi Mungu tutie nguvu katika elimu, Uchumi,utawala, umiliki na Utii. Kutana na haja za Mioyo yetu. Mungu tia baraka kazi za mikono yetu,malengo ya siku ya leo. Tunaomba utulindie watoto wetu,ndugu zetu,rafiki zetu popote walipo, majumbani, mashuleni, makazini na hata barabarani. Tunaomba tukiamini na kushukuru. AMINA.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

*Siku njema*
 
Amen!!
 
.
20181015_113406.jpg
 
Sala nzuri sana.
Ubarikiwe
 
Back
Top Bottom