Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1539530844522.jpg
 
Aiwaaa nlitaka kumwambia anibebe kwenye utosi 🤣🤣🤣🤣
Ni Black Mamba, Iringa anaitwa Muhando, Morogoro anaitwa Muyombo, Mkoa wa Pwani anaitwa Runyasi, Kwa Kiswahili anaitwa KOBOKO. Nyoka huyo hafai, hafai, tena hafai, ndiye nyoka mwenye sumu kali Tanzania. Ukikutana naye omba Mungu tu. Wanamwita "five step snake". uking'atwa na nyoka huyo kupona ni majaliwa, maana una dakika zisizozidi 20 za matibabu, usipopata tiba sahihi kwa dakika hizo basi swali uombe Maghfra. (TOBA)
Nadhani SYB anaweza kumuelezea vema maana mikoa ya kanda ya ziwa anajulikana sana huyo
 
Back
Top Bottom