andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Ninauwezo wa kuua mende, mjusi,chura,mbu,nzi na ndugu zao wengine wapendao joto la binadamu bila hata kutumia kifaa cha maangamizi. Nasema sipati shida kuhama (kama waifu hayupo) nyumba ikiwa tu kapita tandu au nyoka mlangoni na kazama ndani... Hongera kwa ujasiri huo...Anayenyanyua kichwa huyo ni hatari lwa sababu yeye anachojua ni vita tu. Hili ni yale makubwa mapole tu hayana neno. Nilitaka nilikate kichwa na koleo hapa lakini limechepuka balaa. Najua limo humu kwenye gereji. Ngoja niendelee kulisaka [emoji16][emoji16][emoji16]