Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo nimekuelewa sasa...Nimesema bro ake ya buyenze
Kwani hukumbuki aliyeanza kukuita bro bro kisha sie tukaiga tu basi huyo huyo. Soma vizuri hapo utaelewa bana ubuyu wa code upogo hivyo
Sio solar ?Mwanaume kutembea na powerbank ni umama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanaume kubebea jenereta[emoji125][emoji125]
Sisi hatumenyi hata maganda tunakamata hivyo hivyo. Wewe tenga tu beseni la hayo maembe yako halafu nipe dakika 30 hivi. Utakuta nshamaliza sihitaji kisu wala nini [emoji16][emoji16][emoji16]Nyie wasukuma je mnalia Na nini asali au?
Sisi hatumenyi hata maganda tunakamata hivyo hivyo. Wewe tenga tu beseni la hayo maembe yako halafu nipe dakika 30 hivi. Utakuta nshamaliza sihitaji kisu wala nini [emoji16][emoji16][emoji16]
Prof...Pale chuoni kwenu hawajakosea kukupa ukuu wa dipatimenti aisee [emoji16][emoji16][emoji16]*Mwanamke kuomba Hela huo ni uchawi*
[emoji852][emoji852][emoji852][emoji852][emoji852][emoji852][emoji852][emoji852]
*Mwanamke unatakiwa kuomba Mimba*
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Ai givapu [emoji16][emoji16][emoji16]
Kuosha huo ni umama...[emoji16][emoji16][emoji16]Wala kuosha [emoji15][emoji15][emoji15]
Kazi imeanza...