Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aisee. Nimegongana na linyoka likubwa hapa. Nimetaka kuliua lakini limetokomea huko kwenye gereji. Ningekuwa naogopa majoka leo nisingelala aisee

Kuna siku tunatembea na mume wangu wacha tukutane nae tena yule anaesimamisha kichwa sijui anaitwaje weeee kijichotokea najua mwenyewe 🤣🤣🤣🤣
 
IMG_8873.JPG


Habiba.
 
Hapo nimekuelewa sasa...

Bro yule naye mapenzi huwa yanamwendeshaga yaani mpaka basi. Anaweza kuamka tu from nowhere akatwanga "I will die alone" sasa mtu unabaki unashangaa. Tangu aachwe kipindi kile hajawa sawa kabisa and the new parables are darker and more depressing. Wanawake muwage na huruma sometimes jamani mf. aliyemuacha mbona asimrudie tu jamani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii kesi ngoja nikalale mie[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Kuna siku tunatembea na mume wangu wacha tukutane nae tena yule anaesimamisha kichwa sijui anaitwaje weeee kijichotokea najua mwenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anayenyanyua kichwa huyo ni hatari lwa sababu yeye anachojua ni vita tu. Hili ni yale makubwa mapole tu hayana neno. Nilitaka nilikate kichwa na koleo hapa lakini limechepuka balaa. Najua limo humu kwenye gereji. Ngoja niendelee kulisaka [emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii kesi ngoja nikalale mie[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Afadhali kwa kweli. Ngoja nami nikazane kutafuta hili linyoka mpaka nilipate aisee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom