Kunamambo yanatuharibu na kuiharibu Africa.
Ujinga ni adui ambaye Mwl Alimmulika moja kwa moja akadhamiria kupambana nae.
Kitu Mwl. alisahau ni kutueleza Elimu ipi hasa hufuta ujinga completely.
Bahati mbaya Viongozi wetu wamekariri notes wakafauru mitihani, maarifa wameacha vitabuni!
Kule Morogoro, Kisarawe, Kibaha, Bagamoyo, Mkuranga huitwa uhirihiri. Penda sana juisi yake[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Anafanana na huyo?Kuna siku tunatembea na mume wangu wacha tukutane nae tena yule anaesimamisha kichwa sijui anaitwaje weeee kijichotokea najua mwenyewe 🤣🤣🤣🤣
Anafanana na huyo?View attachment 898537
Nyoka sipatani nao kabisa.Na sina elimu ya kutofautisha nyoka ...