Anaswaga zake flani hivi za kuja kwako,ohoooo[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aaah wapi sijawahi aidiwa wine ,maua au samaki mie
Yaani natamani turiwaindi kama zile kanda za video za enzi hizo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muda haurudi nyuma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Potiii Yegomasika kuja ujibu tuhuma hapa[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Anaswaga zake flani hivi za kuja kwako,ohoooo[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bro hnamwaga ung'eng'e hadi raha.
Zawadi gani iseme kwanza ndo nifikirie kujaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zamani enzi zileeee. Kabla bro ake ya buyenze hajaanza swaga zaAaah!wapi
Huu uzi wenyewe ni sababu tosha ya insomnia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]najipenda mie siwez chokoza hao watuUng'eng'e gani huu umejaa lafudhi ya Kisukuma? Ukitaka ung'enge wa kweli hapa JF mchokoze Nyani, Kiranga au Malcom Lumumba. Tena tafuta na kamusi kabisa inayojitosheleza ndo ukae ufaudu sasa.
Gold Crest. Zawadi yo yote ya kawaida under my ability ambayo ungetaka ungepata siku ile [emoji16][emoji16][emoji16]
Nina mambo mengi sana ya kusema kuhusu hili. Ngoja niache tu bro...Kunamambo yanatuharibu na kuiharibu Africa.
Ujinga ni adui ambaye Mwl Alimmulika moja kwa moja akadhamiria kupambana nae.
Kitu Mwl. alisahau ni kutueleza Elimu ipi hasa hufuta ujinga completely.
Bahati mbaya Viongozi wetu wamekariri notes wakafauru mitihani, maarifa wameacha vitabuni!
Tulishazoea mbona...Yaani wasukuma inabidi mzoee tu haya mambo ya kuanzishiwa nyuzi[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna bus walipanda jamaa watatu[emoji125][emoji125]bana eee sijataja kabila[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wakakaa siti ya watu watatu njiani wakanunua karanga hee si wanapekuchua maganda,wakaona shida kutupia dirishan wacha wajimilikishe ka dustbin(kawekwa mtu kati)wengine mkitaka kutupia uchafu humo mnamshtua wa pemben mnampa unachotaka kutupia anatupa humo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Teh!mnapanda mwendokasi mmoja kakaa nyuma mwengine mbele mnaanza kupiga stori[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanaume wa dar tafadhali[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Mh!?"Mkiona viongozi wenu wameanza kutembea na ulinzi wa kutisha, fahamuni wameanza kuwaibia" - JK Nyerere