Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

E169ACFE-D7C9-492D-93DC-FC69448F9251.gif
 
Ha hah

Zitto bana ..

Bro kuna uchawi unatatua changamoto.?
Si kama huo wa Zitto? Unachimba mkwara halafu unajificha kwenye uchawi.

Uchawi wa Kiafrika, kinyume na wa wenzetu huko, umefungamana na umasikini. Mimi nimekaa Gamboshi miaka miwili. Masikini sana kijiji kile lakini ndiyo utaambiwa usiku ni kama NYC. Ukiambiwa huyu ndiye mkuu wa wachawi unashangaa. Kibibi/kibabu kimasikini kweli kweli eti ndiyo kina mamia ya misukule na kina uwezo wa kusafiri kwa ungo bila nishati yo yote kutoka Gamboshi kwenda Kongo kwa dakika 10 tu.

Sijawahi ona uchawi unaotatua changamoto kwa kweli mbali na kuongeza matatizo tu. Labda huo wa kimataifa ambao hata practitioners wake wamo humu JF. Huo nasikia unatajirisha ila nao masharti yake yawezekana yakawa magumu.
 
😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom