Wanasayansi wanasema karibu watagundua kinachotokea mango (matter) inapofikia event horizon; na baada ya hapo pengine wataweza kuusimamisha na hata kugotisha arrow of time ambayo kwa kawaida inapaswa kusonga mbele daima. Hatari, hata hivyo, ni kwamba wakifanya hivyo pengine wanaweza kusababisha maisha yakome na hata kuleta mvurugano kwa kuingilia nguvu za uvutano zinazoshikilia kila universe, sayari, nyota na kila kizungukacho juu katika mahali pake.
Kwa hiyo usikate tamaa. Those ole good days might come back after all japo yaweza kuwa ni baada ya miaka mabilioni [emoji16][emoji16][emoji16]