Ukiwa na pesa matumizi hayakosekani Capital PDah! Prof, M kwa siku.?!
Kwa matumizi yepi yani ???
[emoji23]Hv wajua ukiwa na billioni moja ukatumia laki kila siku itaisha baada ya miaka 27... wanaume wa DAR tunaingia kazini
Ukiwa na pesa matumizi hayakosekani Capital P
[emoji16]View attachment 899304
Huu sasa sawa halafu baadaye kidogo unashushia na kaugali kagumu. Safi kabisa yaani [emoji16][emoji16][emoji16]
Hizi show off hizi. Unaondoa mibaraka yote !!!
Huyu dogo upara umemuwahi sana !!!
[emoji125][emoji3601] [emoji125][emoji3601] [emoji125][emoji3601]
Mungu Akutie nguvu. Yatapita [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Mambo magumu,mwisho wa mwaka majanga tupu