myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
19'52
Hahahahaha!! Mpaka kufikia kumuona barabarani tayari anakuwa yupo huru...Ana uwezo wa kujipeleka nyumbani.Hii bilioni moja ya MO itanitoa roho, niko mjini kila mhindi anayepita mbele yangu namgeukia.....njaa mbaya sana [emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23], labda waamue kusalitiana.Fursa nzuri... Ila hakuna wa kuipata!!
Yaani nipate billion 1 nitumie laki kwa siku???Hv wajua ukiwa na billioni moja ukatumia laki kila siku itaisha baada ya miaka 27... wanaume wa DAR tunaingia kazini
Ulipotea rafiki yangu, mzima wewe?Heshima yako kaka Shimba....
Yaani nipate billion 1 nitumie laki kwa siku???
Yaani mfano mie nazipata kama hizo, kila siku nahakikisha ki em kimoja kinakatika[emoji23]
Mambo magumu,mwisho wa mwaka majanga tupuKulikoni?
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaha!! Mpaka kufikia kumuona barabarani tayari anakuwa yupo huru...Ana uwezo wa kujipeleka nyumbani.
Bilioni 1 unakuwa ushaikosa.[emoji23]
Aisee...nini kimejiriMambo magumu,mwisho wa mwaka majanga tupu
Hv wajua ukiwa na billioni moja ukatumia laki kila siku itaisha baada ya miaka 27... wanaume wa DAR tunaingia kazini
Consuela, leo upo na raha sana[emoji23][emoji23][emoji23]