Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ung'eng'e gani huu umejaa lafudhi ya Kisukuma? Ukitaka ung'enge wa kweli hapa JF mchokoze Nyani, Kiranga au Malcom Lumumba. Tena tafuta na kamusi kabisa inayojitosheleza ndo ukae ufaudu sasa.

Gold Crest. Zawadi yo yote ya kawaida under my ability ambayo ungetaka ungepata siku ile [emoji16][emoji16][emoji16]
Heshima yako kaka Shimba....
 
Back
Top Bottom