myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
tufike nyumbani salama...
tufike nyumbani salama...
Fursa nzuri... Ila hakuna wa kuipata!!Hv wajua ukiwa na billioni moja ukatumia laki kila siku itaisha baada ya miaka 27... wanaume wa DAR tunaingia kazini
Ukiripoti wengine wanaanza na wewe.....Mh
Kwa nini.?
✔✔CCTV nzuri ni zile remote zinasave footage kwenye cloud. Unahangaika kuzing'oa na lisura lako linaonekana na screw driver lako ukihangaika na inatupia cloud.
Ukiripoti wengine wanaanza na wewe.....