hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
ameshinda "!!? maana alikosa penaltySamataaaaaa
ameshinda "!!? maana alikosa penaltySamataaaaaa
Asante kwa kushea, sema wengine hatuna vigezo.Please soma hii kwa makini kama una nia ya kujiongezea elimu. Ninawafahamu hawa jamaa vizuri sana. Kama unakidhi vigezo wanakupa scholarship hakuna cha mjomba wala shangazi. Kama unahitaji msaada wa application letter tuwasiliane. Kwenye hiyo application letter hakikisha unaweka wazi kwamba ukimaliza masomo yako una nia ya kurudi nyumbani na ueleze kwa ufasaha kabisa jinsi elimu hiyo itakavyoisaidia jamii yako. Itakuwa vyema kama utakachosema kitakuwa ni kitu tangible ambacho una passion nacho. Good luck folks [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 900088
Prof. Unaniangusha sasa [emoji16][emoji16][emoji16]Asante kwa kushea, sema wengine hatuna vigezo.
Nilitaka nibaki huko huko.[emoji23]
Naona wameingia kazini kumtafuta Mo ... hawataki kupitwa na Billion 1
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mie nilitaka kubaki huko huko.Prof. Unaniangusha sasa [emoji16][emoji16][emoji16]
Iko poa, kamanda habari yakoPlease soma hii kwa makini kama una nia ya kujiongezea elimu. Ninawafahamu hawa jamaa vizuri sana. Kama unakidhi vigezo wanakupa scholarship hakuna cha mjomba wala shangazi. Kama unahitaji msaada wa application letter tuwasiliane. Kwenye hiyo application letter hakikisha unaweka wazi kwamba ukimaliza masomo yako una nia ya kurudi nyumbani na ueleze kwa ufasaha kabisa jinsi elimu hiyo itakavyoisaidia jamii yako. Itakuwa vyema kama utakachosema kitakuwa ni kitu tangible ambacho una passion nacho. Good luck folks [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 900088
Niko salama mkuu. Mnasemaje huko? Tumahukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Iko poa, kamanda habari yako
Wanafunzi ninao tele, kuhusu hilo ondoa shaka...Nina imani watafanikisha.Prof kama una wanafunzi wenye Masters nzuri na wanahitaji PhDs. Hii ni nafasi nzuri na ukiwaongoza kwenye applications zao bila shaka watapata. If you need my personal experience on this issue let me know.
Thanks prof [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hahaha kweli Aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 900095
Waambiye ulishwa kulipia kodi kadi za mualikoNiliambia watu my 2018 resolution was to do a wedding. Mwaka karibu inaisha na hakuna harusi. Nitaambia nini watu!!
[emoji1495][emoji1495][emoji24]