Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji24]being rejected by a girl with no ass or boobs lowers your self esteem to -100% [emoji23]this is scientifically proven
Nabadilisha mwonekano wanguNdo kuweni makini sasa..pesa ya kwenu wenyewe na inawatesa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], nauomba mie huo muonekano wako.Nabadilisha mwonekano wangu
Unajenga na kubomoa.
Wewe waionaje?[emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vipi pro kwani post imekaaje
Prof kama una wanafunzi wenye Masters nzuri na wanahitaji PhDs. Hii ni nafasi nzuri na ukiwaongoza kwenye applications zao bila shaka watapata. If you need my personal experience on this issue let me know.Please soma hii kwa makini kama una nia ya kujiongezea elimu. Ninawafahamu hawa jamaa vizuri sana. Kama unakidhi vigezo wanakupa scholarship hakuna cha mjomba wala shangazi. Kama unahitaji msaada wa application letter tuwasiliane. Kwenye hiyo application letter hakikisha unaweka wazi kwamba ukimaliza masomo yako una nia ya kurudi nyumbani na ueleze kwa ufasaha kabisa jinsi elimu hiyo itakavyoisaidia jamii yako. Itakuwa vyema kama utakachosema kitakuwa ni kitu tangible ambacho una passion nacho. Good luck folks [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 900088