Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Tupo tunapambana bro. Mpaka mwisho wa dahari. Tumshukuru Mungu bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Njema kabisa. Habari za miangaiko?
Tupo tunapambana bro. Mpaka mwisho wa dahari. Tumshukuru Mungu bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Njema kabisa. Habari za miangaiko?
Misambwanda inatafutwa kwa udi na uvumba...[emoji16][emoji16][emoji16]
Kama mdudu NYEGERE[emoji16]Wana ujasiri [emoji1787]
Hawa ni kutia ndani na kupiga marufuku wasipate leseni tena kamwe...Hahaha, watu wana vichwa vigumu aiseeView attachment 900043
Duh!!Kaisiki? Mambo ya VAR yaliishia wapi? Nilikuwa nacheka sana !!!View attachment 899948
Hatarii
[emoji818]Mtindi si haba
mto malagarasi hapo...hilo daraja linatakiwa kupita gari moja huku lingine likisubiri...sasa naona jamaa walikua na haraka ya kwenda kufa...sema israeli mtoa roho alikua mapumzikoniHawa ni kutia ndani na kupiga marufuku wasipate leseni tena kamwe...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamaa ana PhD ya Jiografia [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 899917
[emoji106]Ndo kuweni makini sasa..pesa ya kwenu wenyewe na inawatesa.