Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Nipo prof, huwa nnawasoma kimya kimya tuu [emoji846][emoji846][emoji846].Siku hizi upo veri bize...Ama ndo mambo ya billioni 1??
Hii bilion moja mwili u radhi ila sijui hata nnaanzia wapi.
Nipo prof, huwa nnawasoma kimya kimya tuu [emoji846][emoji846][emoji846].Siku hizi upo veri bize...Ama ndo mambo ya billioni 1??
Kuna line moja anamuuliza manzi21 questions
50 cent
Acha nijiandae...Nimeiona mahali. Vyuo kwa kweli sijui japo likely mtabanana nao UDOM japo nadhani wengi wao huishia kwenda nje hasa Ulaya na Marekani.
hahaa "Kuna line moja anamuuliza manzi
If I didn't smell so good would you still hug me