Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kumbe Kaka Shimba anayajua?
Hakuna kitu. Hii ni ishu nyingine kabisa inahusu nywele. Slei kwini mmoja aliniambia nimsaidie kufumua dread locks zake sasa mimi nikajifanya mjanja kupita njia ya mkato nikachukua mkasi nikawa nazikata huku mkiani kumbe nikawa nakata na nywele zake. Baada ya kumaliza kumfumua alikuwa kama mbuni aliyekoswa koswa na radi. It was a huuuuuge fight [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kama najiona vile....lazima nikuwakie....na yeye alikuwa amelala?

Au ndio na wewe ulionyesha wajua kazi unayoifanya

Back
Top Bottom