Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Safi kusikia hivyo. Kwa neema ya Mungu Atapatikana akiwa hai na timamu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]. Japo familia walichelewa kidogo, bilioni moja hiyo bila shaka inatosha kumtoa nyoka pangoni unless kama hao watekaji siyo waswahili.
Kuna maswali mengi sana kuhusu kutekwa kwa Mo sijui wacha tuone muda unavyosonga kuna kitu kinaweza kutokea
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimekumbuka bcoz nilicheka sana ile siku...
Nilijifunza somo kubwa sana siku ile. Linapokuja suala linalohusu urembo kwa mwanamke aisee kaa mbali....Tangu siku ile niko mwangalifu sana. Hata akiniambia nibrush wig lake aisee sikubali kwa sababu ukikosea kidogo tu likanyonyoka moto utakuwakia mpaka uombe poo [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kosea kote...usikosee kwenye Nywele za Mrembo.....

Utafikiria hazioti tena
Siyo nywele tu. Kila kitu. Siku hizi hata kutumwa kwenda kuleta kitu madukani sitaki unless aniambie specific brand na idadi ijulikane kabisa. Vinginevyo utakosea tu na ukirudi moto utakuwakia...

Eti hebu pitia nywele hapo kwa Dada Asha kesho nataka niende nazo saluni aisee sikubali.
 
Back
Top Bottom