mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hahahaha unakumbukumbu mkuuHii comment imenikumbusha ulivyomfumua nywele yule dada [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaha unakumbukumbu mkuuHii comment imenikumbusha ulivyomfumua nywele yule dada [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Malast borns wote na tuseme uwongooooooo !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 900156
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakuna kitu. Hii ni ishu nyingine kabisa inahusu nywele. Slei kwini mmoja aliniambia nimsaidie kufumua dread locks zake sasa mimi nikajifanya mjanja kupita njia ya mkato nikachukua mkasi nikawa nazikata huku mkiani kumbe nikawa nakata na nywele zake. Baada ya kumaliza kumfumua alikuwa kama mbuni aliyekoswa koswa na radi. It was a huuuuuge fight [emoji16][emoji16][emoji16]
Utasha wa hao watekaji ndio tatizo anyway tusubiri movie inaendeleaNahisi siyo ishu za kisiasa. Nahisi ni mambo yanayohusu biashara tena yana-involve pesa ndefu hasa kama kweli watekaji ni watasha kama inavyosemekana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] halafu hiyo sura yako leo umefanana na mzee wa liver kweli kweli
Duniani wawili wawili aisee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahaha!! Eti mwili u radhi, usiwe wakaa kimya sana bwana..Nipo prof, huwa nnawasoma kimya kimya tuu [emoji846][emoji846][emoji846].
Hii bilion moja mwili u radhi ila sijui hata nnaanzia wapi.
Wale huwa wanahitaji rangi nyeupe bwanaKina kalumanzila sijawahi kuwaamini, yaani hali zao zilivyo washindwe kuivuta bilion 1 kwa ajili yao wanisaidie mimi kwa gharama ya kuku mwekundu?
Kweli?[emoji2][emoji2][emoji2]
Kwani hapa tunazungumzia sex au love? Kama ni sex uko sahihi. It is not a basic life need and its main function is/was for reproduction japo sisi homo sapiens tumeigeuza na kuifanya kuwa ndiyo starehe yetu nambari wani...Hivi Maslow alizungumzia sex au love? ??
Vyote vinawezekana...hakuna uhakika kua ni 'weupe' mtu anaweza kuvaa kinyago cheupe kwa haraka ile ikatajwa ni ,,'mweupe'Nahisi siyo ishu za kisiasa. Nahisi ni mambo yanayohusu biashara tena yana-involve pesa ndefu hasa kama kweli watekaji ni watasha kama inavyosemekana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wazee wa kudeka na kunyonya vidoleMalast borns wote na tuseme uwongooooooo !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 900156
[emoji344][emoji344][emoji351][emoji351][emoji351] Uwongoooooo !!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wazee wa kudeka na kunyonya vidole
Prof umejuaje [emoji2][emoji2][emoji2]Wale huwa wanahitaji rangi nyeupe bwana