carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Yaani bro ako hapa alikofikia ni maombi tu yatamuokoa,hakuna njia nyingine[emoji23]Wapiga kibuti wenyewe hawa sidhani kama wana huruma [emoji16][emoji16][emoji16]. Bro wangu mpole ataendelea tu kupata taabu sana !!!