carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
mwanaume kusherehekea/kuadhimisha bday ni UMAMA.
B.day ni tukio muhimu sana kukumbuka, usichukulie poa.
B.day ni tukio muhimu sana kukumbuka, usichukulie poa.
Fresh tu we ninyase nyase tuZile za kizungu?zinaumizaga macho
Andika kiswahili nijibu[emoji23][emoji23][emoji23]
Welcome back bro...
Hujambo my princess
Hapana hata katika vitabu vya dini sherehe zote za kuzaliwa ziliambatana na vifo au mauwaji sio tukio muhimu kabisaB.day ni tukio muhimu sana kukumbuka, usichukulie poa.
mwanaume kusherehekea/kuadhimisha bday ni UMAMA.
Sijawahi kusherehekea birthday hata siku moja japo kuna wakati huwa naletewa vizawadi zawadi. Lakini mambo ya keki na mamishumaa sijui mabaluni na kualika marafiki na ndugu Huo ni umama [emoji16][emoji16][emoji16]Naunga mkono hoja
Fresh tu we ninyase nyase tu
MmmhhNilitaka kusema neno lakini moyo wangu umepoa wacha nipite kimya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mia mia mkuu pamoja sanaSijawahi kusherehekea birthday hata siku moja japo kuna wakati huwa naletewa vizawadi zawadi. Lakini mambo ya keki na mamishumaa sijui mabaluni na kualika marafiki na ndugu Huo ni umama [emoji16][emoji16][emoji16]
Weeee mchokoziiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwanaume kusherehekea/kuadhimisha bday ni UMAMA.
[emoji125][emoji125]We hujui tu
Jinsi gani moyo wangu unauumiza
We hujui tu
Jinsi gani nawaza
Safi sana ndiyo maana nakupendagamwanaume kusherehekea/kuadhimisha bday ni UMAMA.
Sababu za msimamo wako huo nini.?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwanaume kusherehekea/kuadhimisha bday ni UMAMA.
Hapana hata katika vitabu vya dini sherehe zote za kuzaliwa ziliambatana na vifo au mauwaji sio tukio muhimu kabisa