Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nilijifunza somo kubwa sana siku ile. Linapokuja suala linalohusu urembo kwa mwanamke aisee kaa mbali....Tangu siku ile niko mwangalifu sana. Hata akiniambia nibrush wig lake aisee sikubali kwa sababu ukikosea kidogo tu likanyonyoka moto utakuwakia mpaka uombe poo [emoji16][emoji16][emoji16]
Sure, hasa urembo wa nywele, wanajali sana nywele hawa dada zetu.
 
Siyo nywele tu. Kila kitu. Siku hizi hata kutumwa kwenda kuleta kitu madukani sitaki unless aniambie specific brand na idadi ijulikane kabisa. Vinginevyo utakosea tu na ukirudi moto utakuwakia...

Eti hebu pitia nywele hapo kwa Dada Asha kesho nataka niende nazo saluni aisee sikubali.
Kweli umejifunza....
 
Yaani kaka yako ni zaidi ya huyo pro, na wigi atakununulia bure kabisa akishafumua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sifumuagi mimi. Nakataga tu...

Vi extension vimeshonwa vidogo vidogo kichwa kimejaa kuvifumua vyote yaweza kuchukua masaa. Kuvikata mapingili inarahisisha kazi sana [emoji16][emoji16][emoji16]
 
496d50e0-63f8-4ac3-96bf-e212ec638c5d.jpeg
 
Mengi mno, apatikane akiwa salama tuu.
Muda mrefu sana umepita. Kwa takwimu za FBI, mtekwaji asipopatikana within 48 hrs, uwezekano wa kumpata akiwa hai unaporomoka mpaka 20% japo inategemea lengo la watekaji. Kama ni ransom wanataka wawekewe pesa electronically kwenye akaunti zao mafichoni huko bila shaka wangekuwa wameshafanya hivyo. Yote kwa yote ni kuomba Mungu tu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]. Mo bado kijana sana ...
 
Ni kweli bro, ngoja tusubirie.
 
Back
Top Bottom