Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1539754355010.jpg
 
MSINGI WA NDOA YENYE MAFANIKIO.

Kujenga nyumba kwataka utayarishaji wenye uangalifu. Kabla ya msingi kuwekwa, ni lazima uwanja upatikane na ramani zichorwe.
"Ni nani kati yenu atakaye kujenga mnara asiyeketi kwanza na kupiga hesabu ya gharama, ili aone kama ana kiasi cha kutosha kuukamilisha?" (LUKA 14:28).[/b]
 
Kama ilivyo kwa habari ya kujenga nyumba ndivyo ilivyo pia kwa habari ya kujenga ndoa yenye mafanikio. Wengi husema: " Ninataka kufunga ndoa." Lakini wangapi hutua ili wahesabu gharama?
 
MSINGI WA NDOA YENYE MAFANIKIO.

Kujenga nyumba kwataka utayarishaji wenye uangalifu. Kabla ya msingi kuwekwa, ni lazima uwanja upatikane na ramani zichorwe.
"Ni nani kati yenu atakaye kujenga mnara asiyeketi kwanza na kupiga hesabu ya gharama, ili aone kama ana kiasi cha kutosha kuukamilisha?" (LUKA 14:28).[/b]
Somo zuri
 
Back
Top Bottom