myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
11:22
AiseeeJE, UKO TAYARI KWA AJILI YA NDOA?
Huenda kujenga nyumba kukagharimu pesa nyingi, lakini kuidumisha kwa muda mrefu kunagharimu pesa nyingi pia. Ndivyo ilivyo na ndoa. Kufunga ndoa huonekana kuwa jambo gumu vya kutosha, hata hivyo kudumisha uhusiano wa kindoa mwaka baada ya mwaka lazima kufikiriwe pia.