Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwanamke huenda akauliza:-
Mwanamume huyu ana sifa ya aina gani? Marafiki zake ni kina nani? Je, yeye huonesha sifa ya kujidhibiti? Yeye huwatendeaje watu wa nyumbani kwake? Yeye atoka katika familia gani? Yeye hupatanaje nayo? Mtazamo wake ni nini kuelekea fedha? Je, yeye hutumia vibaya vinywaji vya alkoholi? Je, yeye ni mwepesi wa kukasirika? Je, ningeweza mstahi kwa kina kirefu?
(1Timotheo 5:8; Mithali 22:29; 31:23 )
 
Usisahau kwamba unashughulika na mzao wa Adamu asiyekamilika, na si shujaa mkamilifu katika riwaya ya kimahaba. Kila mtu ana makosa, na baadhi yayo yatapaswa kupuuzwa, yako na yale ya yule atazamiwaye kuwa mwenzi wako.
(Waroma 3:23; Yakobo 3:2)
 
fbd9637615c60933bb74a99c38a9b9d7.jpeg
 
Back
Top Bottom