Hbr ya asbh Num,APPLE, TANGO NA ‘KIWI’
Juisi yenye mchanganyiko wa matunda haya hung’arisha rangi ya ngozi. Kiwi ni aina ya matunda ambayo hujulikana pia kama ‘matunda-damu’.
Tufaha sijui ni tunda gani, msaada plizi.TUFAHA NA TANGO LA KAWAIDA
Juisi yenye mchanganyiko wa matunda haya huondoa harufu mbaya mdomoni na hupunguza joto la mwili.
muda wa chai huu
Bado kidogo muda wa kula ufike
Kwetu tunakula muda woteBado kidogo muda wa kula ufike
AppleTufaha sijui ni tunda gani, msaada plizi.
Salama kabisa
AhsanteApple
Nikipata mke wakunipikia hivi naoa hata kesho
Tufaha ni tunda gani?TUFAHA NA TANGO LA KAWAIDA
Juisi yenye mchanganyiko wa matunda haya huondoa harufu mbaya mdomoni na hupunguza joto la mwili.
Ah, kumbe..Apple
Somo zuriMSINGI WA NDOA YENYE MAFANIKIO.
Kujenga nyumba kwataka utayarishaji wenye uangalifu. Kabla ya msingi kuwekwa, ni lazima uwanja upatikane na ramani zichorwe.
"Ni nani kati yenu atakaye kujenga mnara asiyeketi kwanza na kupiga hesabu ya gharama, ili aone kama ana kiasi cha kutosha kuukamilisha?" (LUKA 14:28).[/b]