FafanuaMkuu SYB naona siku hizi unabadirika badirika kama kinyonga
Kumekucha salama. Huko uliko salama? Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Naona unajifunza kutengeneza sentensi....
Kwema lakini?
Mfano kama huo wanafunzi hawatakaa walisahau hilo neno. Ualimu ni kipaji bro [emoji16][emoji16][emoji16]ππππ Daaah bro bro
Asante!Nakufuatilia kwa umakini sana prof.Natumai umeamka salama.
Hahaha, unakula kama unakufa kesho bana!!! Si ajabu huo ugali ni robo heka nzima.. Sasa mpaja umalize mwaka utakuwa umekula heka ngapi za ugali???Say whaaaat? Nimeshabadilisha madaktari zaidi ya wawili kisa hawataki nile ugali...bila ugali aisee maisha magumu sana. Mkuu tania vingine lakini siyo ugali pulizi [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 900963
Hatujambo...NashukuruKumekucha salama. Huko uliko salama? Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Ile dhana ya think big..unleashing potentials imetupiga chengaπππE.g. This virgin is very abstruse [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Hahah kweli bro kwa akili za shule huo ni mfano bora kabisaMfano kama huo wanafunzi hawatakaa walisahau hilo neno. Ualimu ni kipaji bro [emoji16][emoji16][emoji16]
Iti is olo abauti atavaFafanua
Mkuu, acha watu wafurahie maisha. Shida ya nini? Wewe faudu pizza, chips na mapocho pocho mengine bro. Ugali ni numbero uno kwa Afrika [emoji123][emoji123][emoji123]Hahaha, unakula kama unakufa kesho bana!!! Si ajabu huo ugali ni robo heka nzima.. Sasa mpaja umalize mwaka utakuwa umekula heka ngapi za ugali???
Kwa nini?Ile dhana ya think big..unleashing potentials imetupiga chengaπππ
Umenikumbusha Leo nipike Dagaa....karibu!Mkuu, acha watu wafurahie maisha. Shida ya nini? Wewe faudu pizza, chips na mapocho pocho mengine bro. Ugali ni numbero uno kwa Afrika [emoji123][emoji123][emoji123]