Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahaha, ugali ni chakula cha mifugo. Alafu vipo vyakula vingi tu vizuri kuliko huo...

Sema wala ugali wanajiona wajanja kwasababu ndio chakula ambacho ni least affordable, so wabeba mizigo, wachanganya zege na wasioweza kupata chakula bora zaidi ndio kimbilio lao.. na hauna ladha nzuri kama vyakula vingine vingi

Sioni mantiki ya kuupa sifa ugali, japo na wenyewe ni chakula...ila still sio the best..
Say whaaaat? Nimeshabadilisha madaktari zaidi ya wawili kisa hawataki nile ugali...bila ugali aisee maisha magumu sana. Mkuu tania vingine lakini siyo ugali pulizi [emoji16][emoji16][emoji16]

FB_IMG_1455923166769.jpeg
 
Back
Top Bottom