Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Alliums.
Alliums imekusanya vifuatavyo, vitunguu maji , vitunguu thoum, chives, leeks. hivi sio tu kuwa dunia nzima inavipenda kwa kuwa vinaongeza ladha kwenye vyakula, hapana. ni moja ya vyakula vinavyopigana sana kuzuia saratani na vitu vyote vinavyoharibu mwili. vinasaidia kuepukana sana na saratani ya esophagus stomach na saratani ya utumbo mkubwa.