"embaasi"... Mateke yao muda wa kuyakamata yaliniumiza(miiba ya miguuni) sana. Maisha ya kuchunga ng'ombe yalikuwa na raha yake
Sikuhizi kwenye misiba ndio kabisa ukiwa kapuku hata ushirikiano hupatiKweli kabisa. Show off Waafrika zitatuua. Sasa zimefika hadi kwenye misiba
Nimesema imetupiga chenga, maana yake na mimi nikiwemo...Kwa nini?
Hebu tupe mfano mmoja unaoonyesha jinsi nyie big thinkers na potential unleashers mnavyofikiri [emoji16][emoji16][emoji16]