[emoji23][emoji23][emoji23]nimepata shida kuelewa.Iti is olo abauti atava
Hahaha katika ubora
Hahah lakini umeshaelewa, google leo imepata shida duuh[emoji23][emoji23][emoji23]nimepata shida kuelewa.
Sawa, msimu wa kilimo unakaribia ongeza heka za mashamba ya mahindiMkuu, acha watu wafurahie maisha. Shida ya nini? Wewe faudu pizza, chips na mapocho pocho mengine bro. Ugali ni numbero uno kwa Afrika [emoji123][emoji123][emoji123]
duh!!Say whaaaat? Nimeshabadilisha madaktari zaidi ya wawili kisa hawataki nile ugali...bila ugali aisee maisha magumu sana. Mkuu tania vingine lakini siyo ugali pulizi [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 900963
Chakula cha mifugo MarekaniSawa, msimu wa kilimo unakaribia ongeza heka za mashamba ya mahindi
hahahaaa.............Tena wa kiwango cha lami.View attachment 900984
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], acha hizoHahah lakini umeshaelewa, google leo imepata shida duuh
Chakula cha watu wengi zaidi afrika-tanzaniaChakula cha mifugo Marekani