ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
HAHAHAAAA....Sorry ya nini bro usijali sipo kwenye ulokole huko,mie ubuyu tu nautafuna. Wewe sema nikupe ubuyu upi naumwaga.
Nipo shemeji. Likely fake ass. Nawajua hawa. Ukatibu mkuu wa CHAWAMITA sikuuokota barabarani [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 901113
wapi SHIMBA....
tuko Haiti hapa
Wajenzi hurutuko Haiti hapa
wapi hii mkuu.....
Jioni hasa hiikuelekea jioni
Haya asante. Watu tunaishi maisha ya siri tukifanya mambo ya ajabu japo huku nje tunataka tuonekane tu watakatifu tuliokamilika. Mambo kama haya yanapotokea pazia linakuwa limefunguliwa. Mungu Atupe ujasiri wa kuweza kuishi tukiaminicho hata kama hakiwapendezi wengine. Na kama tuko genuine mbele ya macho ya Mungu basi upendo na neema yake vyatosha. Apumzike salama huyu kijana. Kafa mapema sana na si ajabu babake alikuwa ndiyo anamwandaa kumrithisha huduma yake yenye upako.Something big,pitia ule uzi utaelewa bro. Upo habari na hoja mchanganyiko
West Africa. Huyu kazidisha na halimpendezi kabisa. It is actually grosswapi hii mkuu.....
mkuu mkuu mananasi hayo...
Kuna nini jamani. Mbona tunataka kuwa kama kwa wazungu huko ambako watoto hawatoki peke yao hata nje kwenda kucheza sababu ya mapedofaili. What is going on with my beautiful Tanzania?
Abee coleCarbamazepine
duh! kiti cha vitz hakai kabisaWest Africa. Huyu kazidisha na halimpendezi kabisa.
View attachment 901122
Endelea kufukua makaburi jirani [emoji16][emoji16][emoji16]mkuu mkuu mananasi hayo...