Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Jr kauliwa na mbunye ama? What is going on?Sasa bro ukiwa mzoefu huwez pata stress kufikia hali mbaya,ila ugen daah hadi huruma
Ndo maana bebi mama hanyonyeshi kulinda watoto.
Lily alivishwa pete kwa mbwembwe akiwa na mimba.kumbe bana bidada alikua anawaza maisha kama ya mama machache,jamaa mwenye mimba pesa ikakata,uchumba ukafa,baada ya kujifungua kijana akabeba mzigo na kulea mtoto ila sasa bidada mashart ya kuishi kwa style ya malez ya kijana akashindwa,akadaka njemba nyingine,wacha ampe stress kijana wa watu
Huyo mwanamke anaitwa lilian kamazima,alivishwa taji la miss Tanzania baada ya miss aliyekuwepo kuvuliwa kwa kudanganya umriKuna ubuyu gani kuhusu kifo cha huyo Jr? Nimeona picha tu zimezagaa akiwa ameshikana mkono na mwanamke mmoja hivi mrembo nikaassume ni Mrs wake.
Something big,pitia ule uzi utaelewa bro. Upo habari na hoja mchanganyikoJr kauliwa na mbunye ama? What is going on?