Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_20180930_174458_793.jpeg
 
Mchaga ni nani?

Umesoma uzi wa mwakasege juu ya kifo cha mwanae?
Kasemaje?

Niliona siku alipowatangazia wanasemina kuhusu msiba huo na akasema kuwa ni lazima ataendelea na semina mpaka imalizike. Niliguswa sana. Mungu Anamtumia huyu mtumishi kwa namna ya pekee sana. Hakuna mbwembwe. Hakuna show off. Ni neno la Mungu tu basi. [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Bro bana. Mtumishi hajaongea chochote kuelezea kwa undani ila kifo cha mwanae ni ubuyu mkubwa.

Daaah jamani eee anzen kujifunza kunywa uji mapema,ukubwan shida tupu
 
Mchaga ipo Kinyume cha akina iwe bojo

Niliusoma nikaenda na kwa fekero ya mange nikasoma zaid umbea daah watu walimsakama lily mpaka akafuta insta account yake
Ingekuwa ametajwa iwe bojo nisingehangaika maana tetesi zinasema anao tena yeye na bebi mama wake.

Nimeona kila mtu anamsema lily kuwa ndo chanzo,sijui mwenyewe yuko katika hali gani huko aliko,sad
 
Back
Top Bottom