Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unasema hivyo ili...niseme haya njoo unisaidie au...wataka kuwakimbiza shemeji zako?
Hapana. Nakupa angalizo. Hata siku moja usimkaribishe Msukuma kula kama huna uwezo wa kupika ugali wa kueleweka. Ni hilo tu [emoji16][emoji16][emoji16]
FB_IMG_1455923166769.jpeg
 
Njia tano bomba kwa afya yako
1. Apple moja kwa siku - hukuweka mbali na daktari.

2. Jani la mrihani (tulsi leaf) ukitumia kwa siku hukuweka mbali na saratani
3. Limao kwa siku -hukuweka mbali na unene
4. Kikombe cha maziwa kwa siku -hakuna tatizo la mifupa

5. Lita tatu za maji kwa siku- hakuna magonjwa.
wapi mwalimu
Numbisa
 
carbamazepine

@tzshaderoom: #roommetes breaking news msanii wa bongo flavaaa kadaka mimba ya mchaga cjui alitaka kumkomoaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aanze kula pesa zakeee mara paaap anapokea vipimo mbele ya mbea mda huuu yaani sasa hivi kuwa mimba anayo na ngwengwe pia ipo ccheki kuwa nafurahia nacheka jee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ataendelea na plan au atajimunalove [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja nikaoshe vyomboo mie [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] nisije tumia mali za seeikali bureee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Masikini maisha haya ni fumbo moja tata sana.
Pole yake bidada,kama ni kweli ni yule nimfikiriae bado ni kabinti kadogo kenye maisha marefu sasa kaanze kumeza zile dawa daah!!
 
Back
Top Bottom