HATARII
Ndiko tulikofikia sasa. Kapuku watu watakuja na kuzika haraka haraka ili waende zao. Ila kama kuna vitu watu watakaa mpaka wiki na kitu...Tutafuteni pesa kufa na kupona kwa kweli !!!Sikuhizi kwenye misiba ndio kabisa ukiwa kapuku hata ushirikiano hupati
Ya zamani hii jirani duh!KWELI
Halafu wakamuua tena kijinga tu...Remember Me
Lucky dube
Kama kuna mtu anawafahamu afuatilie kama bado wako pamoja hawa [emoji16][emoji16][emoji16]
Dagaa wa Mwanza au wa Kigoma. Kuna tofauti kubwa. Asante kwa karibisho
Bila kukumbuka ulikotoka utasahau njia jirani😀😀😀😀Ya zamani hii jirani duh!
Unafanya nini makaburini?
Wa Zanzibar hao siwafahamu kwa kweli. Dagaa wa kigoma wakikaangwa kidogo wakaungwa vizuri weee. Ugali utakaoangamia hapo utashangaa.Hawa wangu wa Zanzibar endelea kupendelea wa Mwanza tu....
Ila njoo uonje wa Znz
duhh !!!HATARII